LetraNitaishi

Meltus Method

Última atualização em: 14 de Março de 2020
Nenhuma tradução disponívelNenhuma tradução disponível
#together against coronavirus

Kuna wakati nakosa nguvu Ya kuendeleaa Maisha yangu yamebadilika sana

Na nikika chini Tafakari sipati jibu Pengine ni makosa Niliyofanya yananihukumu Siwezi kukata tamaa Nina sababu kusimama imara Heeeiyeee Nitaishi maisha Nitaheshimika Sitasikiliza Ya wanadamu Nitaishi maisha Nitaheshimika Sitasikiliza mhhh Ya wanadamu Hiyeeiiiyeeeii Huwooouuuwoouu Hiyeeiiiyeeeii Ya wanadamu Nilivaa suti Wakasema vaa shati Ili nionekane msafi Kwenye macho ya wanafiki Nimesoma hadi Nimepata vyangu vyeti Wakapatwa na wasiwasi Nimefahulu kwa bahati Nikikaa chini tafakari Sipati jibu Pengine ni makosa Niliyofanya yananihukumu Siwezi kukata tamaa Nina sababu Kusimama imara Iyeeeiyeiye Nitaishi maisha Nitaheshimika Sitasikiliza ya wanadamu Nitaishi maisha Nitaheshimika Sitasikiliza mhh Ya wanadamu Hiyeiiiyeii Huwooouuuwoouu Hiyeeiiiyeeeii Ya wanadamu Ya wanadamu Hiyeeiiiyeeeii Huwooouuuwoouu Hiyeeiiiyeeeii Ya wanadamu Huwooouuuwoouu Hiyeeiiiyeeeii Huwooouuuwoouu Ya wanadamu

Nenhuma tradução disponívelNenhuma tradução disponível
  • 0

Atividades mais recentes

Musixmatch para Spotify e
Apple Music agora está disponível para
seu computador

Baixe agora