LyricsKiboko WE

Wendo Musaly

Last update on: January 2, 2020
1 Translation available1 Translation available
#together against coronavirus

Kiboko we Kiboko we we Yaani Kiboko we.we we

Ninacho taka kwako Nimapenzi yenye furaha Tupendane tusiachane Tuishi maisha ya furaha Mimi nakupenda honey Nipe penzi lakituuzima Nisije nikaumia Watu waka nicheka Kama nikweli wanipenda mimi Nionyeshe ili niamini Nikuvishe pete mikononi Na tufunge pingu lamaisha Mi na we mpaka mwisho wadu ni nia Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kunamengi watasema kutuusu sisi Watajaribu kutuumiza Ili tuachane Kama penzi tunalo ladhati Tupendane tusitengane Eh Watatupiga maneno ya unafki Uku tukiwaonyesha upendo wa dhati Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Husiniambie unanipenda Wakati hunipendi Nionyeshé, nionyeshe Ili niamini kama we niwaukweli Ninachotá ni upendo wadhati Toka moyoni mwako Nionyeshe upendo ilinifarijike mimi! Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe

1 Translation available1 Translation available
  • 0

Last activities

Synced bydistro
Translated byWendo Musaly

Musixmatch for Spotify and
Apple Music is now available for
your computer

Download now