LyricsKila siku (Feat. Godzilla,…

Nikki Mbishi

Last update on: July 21, 2017
No translations availableNo translations available
We detected some issues
If you found mistakes, please help us by correcting them.

eyo welcome to the booth and love's rocking the party

im doing this for me and im doing me for everybody hizi ndo anasa za maisha napuuza na black seven mitungi ganja nyingi madem utadhani heaven roc boys in the building nicki mbishi in the house from the floor to the ceiling girl groove and bounce i guess you know wat im talkin' bout mi na move gettin core kuprove naona soo now flow ina love now down to the beats hey lunduno whats up im still rapping for machizi mi na roll in a starlet and in loving memory Bongoflava RIP call me the genius cause no any rapper better than me from the harper to the hyper bado na hold the title nakimbiza mchezoni mithili ya papa na michael im intentionally known and Im crossing the broadest circle nabrief na microphone wananiita street disciple nawascratch kwenye tray kwa skillz ka steve b biggy boss namake it rain uta game believe in me kwa staili za kiswa kingi mentali nasaka dough fainali ukishaitwa dingi misingi ushindwe control Imma hustla homie, you're customer for me nafurahi kuona you're happy but your smile is so funny the ground is jampacked the place is going crazy baby show me what you got nobody just cant fade me you made me? ah so kweli homie i made ya multiplatinum star sura yangu ndo front pager na wa keep head side kwa rhymes ka mr vegas straight to the sky na fly na den texas tunapunguza stress kwa warembo na magambe kila mtu yupo high club! tunasahau shida zote tunaparty everyday kila mtu hana time! so lazima friday, friday so lazima mpaka friday kila siku party, party, warembo na magambe so lazima friday (Its yo boy godzilla) kila siku party, party, warembo na magambe so lazima friday Niko poa asee, nipo fresh asee ukimuona duke mpe bapa mazee cheki MVP kwenye private flights! blaza patrick ameshawasha green lights! kila dress code inakaa asee ukisimama kama P mi nasimama kama J hakuna tena ku delay kula tungi all day hii ngoma kali unaeza weka replay life ni ngumu ila na fight so harder ni kama kuwa na kesi ya first... deeply murder! hezilla in the house sala sala we go harder nipo na texas yes he's my brada (brother) ni party sio vita leta tungi tena raundi ya tisa huwezi kupita njia nnazopita wizla, ha! tunapunguza stress kwa warembo na magambe kila mtu yupo high club! tunasahau shida zote tunaparty everyday kila mtu hana time! so lazima friday, friday so lazima mpaka friday kila siku party, party, warembo na magambe so lazima friday kila siku party, party, warembo na magambe so lazima friday ebwana mzuka mweke mwana nmeshtuka wajinga wanabana everyday ni holiday sikumbuki lini ni jana tungi stick mama duke beat na vinanda ukae chini au juu ya kiti kama mbishi njoo na kitanda okay. njoo unisome mi ndo kichwa cha habari tahati hahati hapa hii ni picha ya hatari nafunza kuandika kama teacher wa habari tikisa kichwa tujue ka uko chicha uko shwari sa, pisha ka mbali snitch shika tahadhari mix teacher na kamfari upate misa na habari nawang'arisha kama jiki au magadi class mnafichwa ka picha ndani ya daftari mi ndo M.I.S.T.E.R natema old skul vision kama VCR Mi ndo ONE only definition ni HOT They say money makes the world go round i make it stop! usiogope we jiachie una rock na king killer its gettin hot in herre take off your chinchilla today is a good day na stunt ka' gorilla nigga get out ma way ni mbishi so godzilla nadhibit kama X na kisha na multiply 50 kama doesnt fix kwa kiki pub iko high sifanyi unsafe sex hata ukiwa na mtoto wa geti isiwe grammar kisha story na habari kwenye gazeti tunapunguza stress kwa warembo na magambe kila mtu yupo high club! tunasahau shida zote tunaparty everyday kila mtu hana time! so lazima friday, friday so lazima mpaka friday kila siku party, party, warembo na magambe so lazima friday kila siku party, party, warembo na magambe so lazima friday

No translations availableNo translations available
  • 0

Last activities

Synced byShade Montana

Musixmatch for Spotify and
iTunes is now available for
your computer

Download now