LyricsMachozi

Lady Jaydee

Last update on: July 21, 2017
No translations availableNo translations available
These lyrics are waiting for review
If you found mistakes, please help us by correcting them.

Nimekaa nafikiri badae ninagundua kwamba hutorudi tena sitokuwa nawe tena lakini najipa moyo nione kama ni ndoto kwani matone ya machozi nizaidi ya milioni machungu tele moyoni kweli nimejawa hofu Sina tofauti na mpofu hata njia siioni Nani wakunifuta machozi moyoni nina majonzi sina tofauti na mpofu kwani hata njia siioniii

No translations availableNo translations available
  • 0

Last activities

Musixmatch for Spotify and
iTunes is now available for
your computer

Download now