LyricsChekecha Cheketua

Ali Kiba

  • Written by:
Last update on: July 22, 2017
1 Translation available1 Translation available
These lyrics are waiting for review
If you found mistakes, please help us by correcting them.

Jamaniii mi nataka saule kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule Wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang′a nyang'a nyang′a

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka Nikugeuze Princess sema nini unataka Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa Nini unataka mi nina miujiza nini unataka Nikugeuze Princess sema nini unataka Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini Aya chekecha Chekecha Aya chekecha cheketua Cheke chekecha cheketua Cheke chekesha cheketua Cheke chekesha cheketua cheke Masia Uluso kitaa Abu Daddy Penzi alinipa mama nami leo nakupatia Tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia Nami ntalia na wewe mimi kwako nyang'a nyang'a nyang′a Nini unataka mi nina miujiza nini unataka Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka Nikugeuze Princess sema nini unataka Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa Nini unataka mi nina miujiza nini unataka Nikugeuze Princess sema nini unataka Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini Aya chekecha Chekecha Aya chekesha cheketua Cheke chekecha cheketua Cheke chekesha cheketua Cheke chekesha cheketua cheke Yeah uuh cheke chekecha aah heyiiii

1 Translation available1 Translation available
  • 10

Last activities

Synced byStella Adams
Translated byAmbitsi Andehwa

One place, for music creators.

Learn more