TestoAmigo

Les Wanyika

Ultima modifica il: 5 novembre 2019
These lyrics are waiting for review
Juma Omary suggested changes to these lyrics.

Tabia zako zimeshakupasae Mke na watoto wamekimbia Tulikukanya chunga heshima yako, Mke na watoto wako nyumbani, Ndio hazina ya maisha yako... Amigo, Amigo Wakati tunakupa ushauri we, Uliona sisi watu fitina, Twaingilia mambo yako ya ndani, Na kwamba tukuache kama ulivyo, Sababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo Thamani ya mke ni mavazi, Kula vizuri kulala vizuri Ndio siri ya kudumisha ndoa Mtaishi kwa raha amigo Watoto wako wapeleke shule, Kwa manufaa yao ya baadaye, Elimu ndio zawadi muhimu Kwa watoto wako, Amigo Badala yake mabo yote hayo, Kwa mkeo imekuwa ni ndoto Maisha yake ya kubahatisha Na kazi unfanya, Amigo Amechoka mwisho kakimbia Umebaki kulaumu wenzio Lawama zako hazina msingi, bembeleza mkeo akurudie! Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo, Heshimu mke na watoto wako, Heshimu baba na mama nyumbani, Na wakwe zako uwape heshima, Shemeji zako pia waheshimu, Tukawa sisi wabaya kwako, Shauri wetu hauna maana, Tukwache kama ulivyo Amigo, Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo, Mkeo huna habari naye, Na leo yamekufika mambo, Ubingwa wako na mke amekukimbia Eh! ×4

  • 4

Ultime attività della community

Sincronizzato daCYRUS OTIENO
Tradotto daMulinge Jack

Musixmatch per Spotify e
Apple Music è disponibile ora
per il tuo computer

Scarica adesso