ParolesAmigo

Les Wanyika

Dernière mise à jour le: 6 juillet 2019
1 traduction disponible ||| 1 traductions disponibles1 traduction disponible ||| 1 traductions disponibles

Tabia zako zimeshakupasae Mke na watoto wamekimbia

Tulikukanya chunga heshima yako, Mke na watoto wako nyumbani, Ndio hazina ya maisha yako... Amigo, Amigo Wakati tunakupa ushauri we, Uliona sisi watu fitina, Twaingilia mambo yako ya ndani, Na kwamba tukuache kama ulivyo, Sababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo Thamani ya mke ni mavazi, Kula vizuri kulala vizuri Ndio siri ya kudumisha ndoa Mtaishi kwa raha amigo Watoto wako wapeleke shule, Kwa manufaa yao ya baadaye, Elimu ndio zawadi muhimu Kwa watoto wako, Amigo Badala yake mabo yote hayo, Kwa mkeo imekuwa ni ndoto Maisha yake ya kubahatisha Na kazi unfanya, Amigo Amechoka mwisho kakimbia Umebaki kulaumu wenzio Lawama zako hazina msingi, bembeleza mkeo akurudie! Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo, Heshimu mke na watoto wako, Heshimu baba na mama nyumbani, Na wakwe zako uwape heshima, Shemeji zako pia waheshimu, Tukawa sisi wabaya kwako, Shauri wetu hauna maana, Tukwache kama ulivyo Amigo, Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo, Mkeo huna habari naye, Na leo yamekufika mambo, Ubingwa wako na mke amekukimbia Eh! ×4

1 traduction disponible ||| 1 traductions disponibles1 traduction disponible ||| 1 traductions disponibles
  • 5

Dernières activités

Dernière modification parJuma Omary
Synchronisées parJonas Mrema
Traduites parJonas Mrema

Musixmatch pour Spotify et
Apple Music sont désormais disponible pour
votre ordinateur

Télécharger maintenant